Mpiga chabo akitolewa uvunguni baada ya kunaswa.
Tukio hilo lilitokea Januari 10, mwaka
huu, ndani ya Gesti ya Riverside, Stendi ya Nyegezi jijini hapa ambapo
kijana huyo aliingia kwa kuruhusiwa na mhudumu wa gesti hiyo katika
mtego makini uliotegwa na Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global
Publishers na mwishowe kujikuta akiumbuka.
OFM WAPOKEA MASHTAKA
Wiki moja nyuma, mtu mmoja alipiga simu
kwa OFM jijini Dar akidai yeye ni msomaji wa Magazeti Pendwa ya
Global. Akasema ameamua kupiga simu ili kumshtakia Andrea akidai
amekuwa na tabia iliyoota sugu ya kupiga chabo wapenzi wanapokuwa
gesti.
“Mimi naitwa…(akataja jina lake), napiga
simu kutoka jijini Mwanza. Kuna bwana mmoja anaitwa Andrea, amekuwa na
tabia ya kuwachungulia (kuwapiga chabo) wapendanao wanapokuwa gesti.
“Mbaya zaidi, huyu jamaa nasikia huu
mtindo anao siku nyingi sana. Amekuwa akienda hata nje ya Mkoa wa
Mwanza kwa ajili hiyo,” alisema mtoa habari huyo.
Akaongeza: “Kuna watu wanasema kuwa hata Tabora, Dodoma wanamjua kwa tabia hiyo. Hebu OFM njooni Mwanza.
Ijumaa Wikienda: Usipate tabu, hukohuko Mwanza kuna OFM wametokea hapa makao makuu. Nawapa namba yako ili mshirikiane.
Mtoa Habari: Mtakuwa mmefanya jambo la maana sana.
KAZI YAANZA
Ndani ya dakika tano tu, OFM waliopo Mwanza wakapewa namba za mnyetishaji wetu, kazi ikaanza.
OFM Mwanza, walimtafuta mtoa habari huyo na kukaa naye meza moja ambapo walipanga mipango.
Miongoni mwa mipango hiyo ilikuwa ni pamoja na kutoa taarifa kwenye kituo cha polisi jijini Mwanza ambapo maafande walijipanga.
SIKU YA TUKIO
Siku ya tukio, Andrea alikwenda kwenye
gesti hiyo na kumuuliza mhudumu kama kuna wateja wa ‘shot’ taimu’
wataingia, akajibiwa wapo njiani.
Akaomba alipe shilingi elfu mbili
(2,000) ili atangulie kuingia yeye kwenye chumba ambacho mhudumu huyo
atahakikisha anawaingiza wapendanao hao.
OFM WAJULISHWA, WAINGIA
OFM walijulishwa kuwa mpiga chabo huyo amewasili na tayari ameingia chini ya kitanda kwenye gesti
hiyo, nao wakamchukua OFM mwanamke na kutinga naye sanjari na Polisi wa Dawati la Jinsia Jiji la Mwanza.
Ndani ya chumba hicho, wapendanao (mke
na mume) hao walifikia kitandani. Lakini ili kujiridhisha kama kweli
Andrea alikuwa uvunguni, OFM mwanaume alijifanya ameangusha pesa chini,
alipoinama kuiokota akamuona kiaina lakini hakuonesha kushtuka.
Ndipo OFM hao ‘wapendanao’ walianza
kuchojoa nguo za juu na kuzitupa chini kana kwamba walikuwa tayari
‘mchezoni’ ili kumshawishi Andrea aendelee kuamini na kufurahia dhamira
yake chafu.
OFM NJE YA GESTI
Nini kilibaki hapo kama si OFM waliokuwa chumbani kuwajulisha kwa simu wenzao waliokuwa nje na polisi?
Chumba kilivamiwa, Andrea akajikuta yuko chini ya mikono ya sheria akionekana ameingilia faragha.
ETI AKAJITETEA!
Baada ya kutolewa chini ya kitanda, Andrea aliwekwa mtu kati na kuhojiwa kulikoni kuwa mpiga chabo wa kiwango kile?
Andrea alianza kwa kuomba msamaha na
kuahidi kuacha kabisa tabia hiyo. Alikiri amekuwa akichunguMpigachabo
maarufu nchini, Andrea Masangu (29) amenaswa akiwa kwenye uvungu wa
kitanda akiwapiga chabo wanandoa, Ijumaa Wikienda lina mkasa wote
mkononi.

kuahidi kuacha kabisa tabia hiyo. Alikiri amekuwa akichungulia watu
wengi sana wanaofika katika gesti za jijini Mwanza.
“Jamani nimekoma, ni shetani tu, naacha kabisa mambo haya ‘haki ya Mungu’ kuanzia leo sifanyi tena.
“Kweli nimewachungulia watu wengi sana
na sijapata faida yoyote, sijui shetani gani aliniingia,” alilalama
Andrea na kuongeza kuwa hayupo peke yake bali ana marafiki zake wengi
ambao hufanya kama anavyofanya yeye.
Soo hilo liliisha kwa Mshauri Nasaha wa
Taasisi ya Farijika, Aisha Mtumwa kumrekebisha kisaikolojia Andrea
sambamba na kumpa onyo kwamba akirudia tena atatupwa rumande kwa kosa
la kuingilia faragha ya watu.
lia watu wengi sana wanaofika katika gesti za jijini Mwanza.
“Jamani nimekoma, ni shetani tu, naacha kabisa mambo haya ‘haki ya Mungu’ kuanzia leo sifanyi tena.
“Kweli nimewachungulia watu wengi sana
na sijapata faida yoyote, sijui shetani gani aliniingia,” alilalama
Andrea na kuongeza kuwa hayupo peke yake bali ana marafiki zake wengi
ambao hufanya kama anavyofanya yeye.
Soo hilo liliisha kwa Mshauri Nasaha wa
Taasisi ya Farijika, Aisha Mtumwa kumrekebisha kisaikolojia Andrea
sambamba na kumpa onyo kwamba akirudia tena atatupwa rumande kwa kosa
la kuingilia faragha ya watu.
CREDIT: vituko vya mtaa
0 comments:
Post a Comment