Find Us On Facebook
 
X

Monday 20 January 2014

KAZI NGUMU INALIPA..!! TAZAMA PICHA ZA GARI MPYAAAAAAA YA GHARAMA YA LADY JAY DEE..!! NI NOMA SANA..


jide2Inavyoonekana mwaka 2013 haukua mbaya sana kwa ‘Anaconda’ Lady Jaydee, ambaye ameuanza mwaka mpya 2014 vizuri kwa kuonesha matunda ya mwaka uliopita.
Kwanza wiki iliyopita ukurasa wake wa facebook ulifikisha likes zaidi ya 200,000 na kama haitoshi muda mfupi uliopita hit maker wa ‘Yahaya’ ameutambulisha mkoko wake mpya.
jide new ride 
 ‘My new ride. God I thank you’-Jide.
Ukipishana na Jide akiwa anaendesha Range Rover moja matata usishtuke, kupitia facebook yake muda mfupi uliopita amepost picha ya gari lake hilo jipya na kuandika ‘My new ride. God I thank you’.

0 comments:

Post a Comment