Find Us On Facebook
 
X

Tuesday 21 January 2014

USIPATE SHIDA KUHANGAIKA KUTONGOZA MADEMU WA KIBONGO UKAUMIZA KICHWA BILA MAFANIKIO, WAZUNGU WAGUNDUA MIDOLI YA MAPENZI, PESA YAKO TU MILLION 13...TAZAMA HAPA....so pretty!!!

Binafsi naiita lana na mwisho wa dunia, ila kwa wale wapenzi wa mambo yetu yalee, na uwezo wanao au ni madomo zege basi kazi kwao kuchagua yupi anakupendeza aidha kwa sura au umbile kisha unapewa masharti ya matumizi unatoa kiasi hicho kama $ 8,500/= za Obama unachukua mzigo wako.

0 comments:

Post a Comment