Find Us On Facebook
 
X

Monday 13 January 2014

BAADA YA KUJIFUNGUA MTOTO WA KIKE...ROSE NDAUKA AZUNGUMZIA ...

Rose Ndauka.
Akipiga stori na paparazi wetu juzikati, Rose alisema kutokana na jinsi anavyohitajika kumhudumia mtoto, watu wote wanapaswa kumheshimu sana mama kwani kuzaa na kulea siyo mchezo.
“Mtu asikuambie kitu jamani, mama ni kitu kingine, nilivyozaa ndiyo nimeona mama ni kila kitu maana sasa hivi usiku silali kutokana na kumuangalia mwanangu,” alisema Rose aliyempa mwanaye jina la Naila.

0 comments:

Post a Comment