Find Us On Facebook
 
X

Monday 13 January 2014

WEMA, KAJALA, WOLPER NA MIRROR WADATISHA CLUB 71 TEGETA DAR...!JIONEE HAPA..


Wema Sepetu akiimba na Mirror.
UKUMBI wa Club 71 ulioko Tegeta, jijini Dar es Salaam, usiku wa kuamikia leo ulirindima kwa show bab’kubwa ya msanii Mirror kutoka kampuni ya Endless Fame aliyesindikizwa na madiva katika Bongo Muvi kina Wema Sepetu, Kajala Masanja na Jacqueline Wolper. 


soma zaidi..

0 comments:

Post a Comment