Find Us On Facebook
 
X

Tuesday 14 January 2014

[VIDEO], LULU KATIKA LAANA YA FAMILIA 'CURSE FAMILY' CHUKUA DAKIKA 1 KUTAZAMA HAPA

Elizabeth Michael anayefaha anayefahamika kwa jina la lulu, Atapata kuonekana katika movie mpya ya Family Curse ambayo ndani ya movie hii kuna Yusuph Mlela, Hashimu Kambi na Cath Rupia.



Muvi hiyo mpya ambayo imeingia sokoni jana inajulikana kama ‘Curse Family’ au ‘Laana ya Familia’ Muvi hiyo tayari imeshaingia mtaani kuanzia leo na kumbuka kuwa muvi zote zinazotoka chini ya Proin Promotion hazina CD mbili yaani part one na part two bali zote huwa ndani ya CD moja tu ili kuacha mchezo wa kuwaibia watanzania kwa udanganyifu mdogo kama huo.

0 comments:

Post a Comment