Find Us On Facebook
 
X

Monday 13 January 2014

JEE UNAMJUA MCHUMBA WA ALI KIBA?? SASA AAMUA KUMUEKA WAZI ...PICHA

Msanii Ali Salehe Kiba a.k.a Ally Kiba amekua hasikiki hivi karibuni katika radio na wala halalamiki inaweza ikawa mrembo huyu ndio kamziba mdomo ama ama amemfanya akasahau stress za mziki.
Mkali huyo ambaye hivi karibuni alikuwa Nairobi kurekodi collabo yake na Redsan, amepost picha kwenye Instagram akiwa na mrembo ambaye hakuna shaka kuwa ni ubavu wake wa pili.
6fc7835a7b8f11e391d012f99f952f1f_8
Mtoto ni kama alishushwa  Ally Kiba hapa kagonga ndipo!!!

0 comments:

Post a Comment