Find Us On Facebook
 
X

Friday 10 January 2014

HII NI AIBU KUBWA:DANGURO LINGINE LAGUNDULIKA HUKO KAWE JIJINI DAR-ES-SALAAM

AMA kweli shetani anafanya hesabu zake za mwisho! Tangu mwaka 2014 uanze yapo yaliyotokea na kusisimua likiwemo la kunaswa kwa kinara wa utoaji mimba, Dk. Mambo, maeneo ya Kawe, Dar lakini hili la warembo kufumwa wakitoa dozi ya ngono linaweka historia nyingine, Ijumaa linaibumburua.

0 comments:

Post a Comment