Find Us On Facebook
 
X

Friday, 31 January 2014

Javier Hernandez Chicharito atakiwa na vilabu sita, lakini anabaki Man United



chicharito_0
Wakala wa mchezaji Javier Hernandez amethibitisha kwamba mshambuliaji huyo anaendelea kubakia Old Trafford pamoja na kutakiwa vilabu sita barani ulaya.
Chacharito, 24, amekuwa akihusishwa na suala la kuondoka Manchester United ili kuweza kupata timu atakayokuwa akicheza muda mwingi.
Wakala wake Eduardo Hernandez mapema leo alikaririwa na ESPN Deported akisema: “Nilikuwa na mikutano na vilabu kadhaa, siwezi kuvitaja vyenyewe wala ofa walizotoa, wanavutiwa mno na Chicharito. Moja timu kubwa kabisa iliyopo katika Top 10 ya timu bora duniani ilikuwa moja ya vilabu sita vinavyomtaka Javier.
“Kulikuwa na klabu kutoka Germany, moja kutoka France, mbili kutoka Spain na Italy, kila timu kati ya hizo inamtaka. Lakini, mteja wangu bado yupo kwenye mkataba na Man Utd na ataendelea kuuheshimu mkataba huo.”

Aaron Ramsey nje ya dimba kwa wiki 6


Barclays-Monthly-Awards-Ramsey-Wenger-2349564
Kiungo wa Arsenal Aaron Ramsey hatoweza kuitumikia klabu ya Arsenal kwa takribani wiki sita, meneja wa klabu hiyo Arsene Wenger amesema.
Ramsey ambaye amekuwa fomu nzuri msimu, tayari alishakuwa nje ya dimba kwa takribani mwezi mmoja sasa baada ya kuumia katika mchezo wa ushindi wa 3-1 dhidi ya West Ham mnamo mwezi December.
Akiongea na waandishi wa habari muda mchache uliopita Wenger alisema: “Aaron Ramsey atakuwa nje ya dimba kwa wiki nne mpaka sita sasa.”
Wakati huo huo Wenger amekanusha mpango wa  klabu hiyo kutaka kumsajili kiungo wa Schalke Julian Draxler.


Pichaz za kikongwe anayedhaniwa kuwa mchawi alivyokamatwa chumbani kwa mtu akiwa mtupu.

26a 
 
Hili ni tukio lilitokea huko Bukoba ambalo linamhusisha Kikongwe mmoja ambaye jina lake bado halijapatikana kukutwa chumbani kwa mtu huku akiwa mtupu chumbani kwa mtu.
25 
Mpaka sasa bado haijajulikana kama ni Kigarura au pengine alipata matamani ya mwili akaona pengine chumba kile kingemfaa kumpatia msaada wa mambo yake.
28 
Bibi Kizee huyo anakadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 70,ambapo amekamatwa alfajiri ya leo January 31 hata hivyo polisi wamefanikiwa kumnusuru na kifo baada ya kumchukua na kumpeleka kituo cha polisi.
30 
 
Mashuhuda wa mwanzo wanadai walimkuta bibi huyo akitapatapa bila kujua nini la kufanya huku akiwa mtupu na nguo zake zikiwa pembeni kitendo kilichotafsiriwa kwamba pengine bibi huyo anaweza kuwa mchawi,huku wengine wakisubiri taarifa ya polisi na wengine wakisema huenda bibi huyo alipatwa na matamanio ya kimwili.
Story na picha:bukobawadaublog.

Weekend hii ya mwisho wa mwezi unaweza kuangalia movie hizi kama upo Dar na Arusha.



lastvegas
Last Vegas ni moja ya movie mpya kwenye list ya movie zitakazoonyeshwa  kuanzia leo 31/1 kwenye theaters tofauti na imewahusisha wakongwe kama Freeman,De niro,Douglas na Kline.
Unaweza kwenda kuicheki kama unawakubali wakali hawa na pia hapa kuna ratiba ya movie nyingine kama upo Dar na Arusha.
12114_572473282826959_117634470_n
999955_10151998405448842_181921112_n
1511738_498122536974490_164876637_n
1620606_646911822036751_225351781_n
1653547_10151998401793842_785671439_n

Hatimaye uwanja wa Azam Complex waruhusiwa kuchezewa mechi za kimataifa



Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika CAF leo tarehe 31 Januari 2014 limeupa kibali cha kuchezea mashindanoya kimataifa yanayoandaliwa na CAF uwanja wa Azam Complex Chamazi na kuufanya uwanja wa kwanzaunaomilikiwa na klabu Afrika Mashariki  kuruhusiwa kuandaa (ku-host) mashindano makubwa ya vilabu
Kwa mujibu wa barua pepe iliyotumwa leo na CAF kupitia kwa naibu mkurugenzi wa mashindano Bwana Khaled Nassar, Uwanja wa Azam Compex Chamazi umepita vigezo vyote vinavyohitajika na CAF kuchezewa mashindano ya kimataifa hivyo kuanzia tarehe ya leo, uwanja huu unaruhusiwa “kuchezewa mechi za CAF
Bwana Khaled ameandika katika taarifa yake ya barua pepe kwenda TFF na Azam FC kuwa CAF ilimtuma mkaguziwake toka nchini Zimbabwe Bwana Wilfried Mukuna kuja kukagua uwanja huu. Bwana Mukuna aliwasilisha ripoti CAF iliyopelekea shirikisho hilo kutoa kibali kwa Azam FC na TFF kuruhusiwa kuutumia uwanja huu kwa mechi zinazoandaliwa na CAF
Uongozi wa Azam FC umetoa shukrani kwa mkaguzi wa CAF Bwana Mukuna, Uongozi wa TFF chini ya Rais Jamal Malinzi, na uongozi wa CAF Cairo Misri hasa Bwana Khaled Nasser kwa kuwezesha zoezi hili kufanyika kwa uwazi na uweledi wa hali ya juu uliopelekea uwanja wetu kupata kibali cha kutumika kwenye michezo ya kimataifa.
Azam FC sasa imewatangazichamazi_2
wapenzi wake kuwa kuanzia msimu huu mechi zake za  CAF zitachezwa Azam Complex Chamazi

Monday, 27 January 2014

USHAWAHI KUPATA PICHA YA RONADINHO GAUCHO AKIWA NYUMA YA MIC AKIIMBA?MSHUHUDIE HAPA.

gauchooMara nyingi inazoeleka kwa Star yoyote duniani kufanya kitu kilichosababisha awe star,yaani kama muimbaji atajitahidi kukomaa na uimbaji,kama ni mchezaji mpira atajitahidi kukomaa na mpira,japo kwa sasa tunawashuhudia wasanii wengi wa movie kwa Tanzania wakijaribu muziki na baadhi yao kupokelewa vizuri.
Miongoni mwa wasanii wa Tanzania waliopokelewa vizuri wakitokea kiwanda cha Movie Tanzania kuna Shilole,Snura,Kitale,Baby Madaha,Marehemu Sharo Milionea na wengine wengi.
Kwa hapa nataka tumzungumzie Mwanasoka maarufu kutoka Brazil Ronadinho Gaucho ambaye ameonekana ana vipaji vingi mara baada ya kuonekana kwa video hii akiimba,nyimbo hii inahusu wale waliokata tamaa ya maisha,angalia hii video kisha weka Comment kuhusu alichokifanya.
Nyimbo hii kashirikishwa na Edcity.

Read more..

MOURINHO: ILIKUWA VIGUMU KUMWACHIA MATA

Juan Mata na Mzee Mourinho
Kocha wa klabu ya Chelsea Jose Mourinhoamesmea kuwa ulikuwa ni 'uamuzi mgumu' kwake kumwachilia mchezaji wa kiungo cha kati wa timu ya taifa ya Uhispania Juan Mata kujiunga na wapinzani wao katika ligi kuu ya England Manchester United.
Mata aliye na umri wa miaka, 25, ameandikisha rekodi ya uhamisho katika klabu ya Man United kwa baada ya kuuzwa na Chelsea kwa kititia kinono cha pauni milioni 37.1.
Akizungumza na BBC Mourinho amesema:
" Haya ni maamuzi ambaye mkufunzi anapaswa kufanya, lakini kwangu ilikuwa vigumu. Ningependa kuendelea kumwona katika kikosi changu bila shaka,"
Juan Mata na mkufunzi David Moyes wa Man United

YOUNG KILLER ARUDI DARASANI RASMI…

YOUNG KILLER ARUDI DARASANI RASMI… Young Killer Msodoki, rapper mwenye umri mdogo aliyefanikiwa kuiteka Tanzania na hata kuifikisha sauti yake Marekani na kumpata shabiki ‘mzungu’ aliyejirekodi na kuweka ujumbe wake youtube kueleza jinsi anavyomkubali, sasa amefanikiwa kuishi ndoto yake ya kujiendeleza kimasomo.

Rapper huyo ambaye hivi karibuni alieleza wazi kuwa anahitaji msaada wa kifedha ili aweze kurudi shule, ameingia rasmi darasani kusomea Information Technology (IT).
“Am..back…class…”, ameandika Instagram na kupost picha inayomuonesha akiwa anasoma huku ana headphone shingoni (Muziki na Shule).
Young Killer amejiunga na chuo kiitwacho ‘Green Pasture’ wiki mbili zilizopita. Kuanzia katikati ya mwaka jana, Young Killer alianza kuweka wazi wazo lake la kutaka kurudi shule na aliwahi kutaja masomo ya IT kuwa ndiyo ambayo angependa kusomea.
Tunamtakia kila la kheri kwa hatua nzuri aliyoipiga.

HII NDIYO NAMBA ALIYOPEWA JUAN MATA NDANI YA MAN UNITED

mata

Juan Mata amekabidhiwa rasmi jezi ya Manchester united yenye namba 8 mgongoni.
Makabidhiano hayo yamefanyika kati ya Mata na kocha David Moyes.
ata

JINSI BEYONCE,ALICIA KEYS,CIARA,MADONNA NA WENGINE WALIVYOTOKELEZEA KWENYE RED CARPET YA GRAMMY.

pppppppppppppppppp
grammy-red-carpet-2014
grammy-red-carpet-2014_0
grammy-red-carpet-2014_1
grammy-red-carpet-2014_4
grammy-red-carpet-2014_5
grammy-red-carpet-2014_6
grammy-red-carpet-2014_7
grammy-red-carpet-2014_8
grammy-red-carpet-2014_9
grammy-red-carpet-2014_10
grammy-red-carpet-2014_11
grammy-red-carpet-2014_12
grammy-red-carpet-2014_13
grammy-red-carpet-2014_15
grammy-red-carpet-2014_18
grammy-red-carpet-2014_21
grammy-red-carpet-2014_26

YALIYOJILI KWENYE UTOAJI WA TUZO ZA GRAMMY HUKO LOS ANGELES

dddddddddddddd
Tuzo za Grammy kwa mara ya 56 zimefanyika huko Los Angeles ambapo Jay Z ameshinda tuzo kwenye kipengele cha Best/Rap Song Collaboration na wimbo wake Holy Grail. Kwenye speech yake akipokea tuzo hiyo alii-dedicate kwa mtoto wa Blue Ivy.
Wasanii wengine walioshinda award hizo ni kama Bruno Mars kwenye Best Pop Vocal Album,Justin Timberlake ameshinda awards mbili kwenye best R&B song na Pusher Love Girl na best music video for Suit & Tie.1
article-2546501-1AFCCB1500000578-878_634x721
article-2546501-1AFCBE4500000578-428_634x908
article-2546501-1AFCB4F600000578-986_634x889
article-2546501-1AFCABBB00000578-461_634x923
article-2546501-1AFC503200000578-853_634x804article-0-1AFC215600000578-586_634x899
article-2546501-1AFC2FA900000578-694_634x561
article-2546501-1AFC4DFC00000578-163_634x850
article-2546501-1AFC8EF800000578-221_634x707
article-2546501-1AFC16C800000578-436_634x462
article-2546501-1AFC26DC00000578-840_634x629
article-2546501-1AFC27B700000578-371_634x472
article-2546501-1AFC97EC00000578-600_634x440
article-2546501-1AFC278100000578-857_634x543
article-2546501-1AFCB69400000578-875_634x404
article-2546501-1AFCD59D00000578-845_634x481
article-2546501-1AFDB0C600000578-429_634x664
article-2546501-1AFDEA4300000578-566_634x723
article-2546501-1AFDF21900000578-856_634x853
article-2546501-1AFE0FD200000578-649_306x658
article-2546501-1AFE3EA400000578-758_306x510
article-2546501-1AFE339700000578-717_306x460Hii ndiyo listi nzima ya washindi :
Best New Artist: Macklemore & Ryan Lewis
Best Pop Duo/Group Performance: “Get Lucky,” Daft Punk ft. Pharrell Williams and Nyle Rodgers
Best Rock Song: “Cut Me Some Slack,” Dave Grohl, Paul McCartney, Krist Novoselic & Pat Smear
Best Pop Solo Performance: “Royals,” Lorde
Best Rap/Sung Collaboration: “Holy Grail,” Jay Z ft. Justin Timberlake
Best Country Album: Same Trailer Different Park, Kacey Musgraves
Song of the Year: “Royals,” Lorde
Best Pop Instrumental Album: Stepping Out, Herb Albert
Best Traditional Pop Vocal Album: To Be Loved, Michael Buble
Best Reggae Album: Ziggy Marley In Concert, Ziggy Marley
Best Spoken Word Album: America Again: Re-becoming The Greatness We Never Weren’t, Stephen Colbert
Best Remixed Recording, Non-Classical: Summertime Sadness, Cedric Gervais, Remixer (Lana Del Rey)
Best Gospel/Contemporary Christian Music Performance: “Break Every Chain [Live]“, Tasha Cobbs
Best Gospel Song: “If He Did It Before… Same God [Live]“, Tye Tribbett
Best Gospel Album: Greater Than [Live], Tye Tribbet,
Best Latin Pop Album: Vida, Draco Rosa,
Best Song Written For Visual Media: “Skyfall,” Thomas Newman
Best Chamber Music/Small Ensemble Performance: Brady Wells and Roomful of Teeth, “Roomful of Teeth”
Best New Age Album: Love’s River, Laura Sullivan
Best Jazz Vocal Album: Liquid Spirit, Gregory Porter,
Best Jazz Instrumental Album: Money Jungle: Provocative In Blue, Terri Lyne Carrington
Best Latin Jazz Album: Song For Maura, Paquito D’Rivera And Trio Corrente
Best Compilation Soundtrack Album: Sound City: Real To Reel, Butch Vig (Compilation Producer)
Best Musical Theater Album: Kinky Boots, Cyndi Lauper
Best Americana Album: Old Yellow Moon, Emmylou Harris, Rodney Crowell
Best Folk Album: My Favorite Picuture of You, Guy Clark
Best Dance Recording: “Clarity,” Zedd ft. Foxes
Best Dance/Electronica Album: Random Access Memories, Daft Punk
Best Comedy Album: Calm Down Gurrl, Kathy Griffin
Best Rap Performance: “Thift Shop,” Macklemore & Ryan Lewis
Best Rap Song: “Thift Shop,” Macklemore & Ryan Lewis
Best Rap Album: “The Heist,” Macklemore & Ryan Lewis
Best R&B Performance: “Something,” Snarky Puppy With Lalah Hathaway
Best Traditional R&B Performance: “Please Come Home,” Gary Clark Jr.
Best R&B Song: “Pusher Love Girl,” Justin Timberlake
Best Urban Contemporary Album: Unapologetic, Rihanna
Best R&B Album: Girl on Fire, Alicia Keys
Best Blues Album: Get Up!, Ben Harper With Charlie Musselwhite
Best Music Film: Live Kisses, Paul McCartney
Best Country Duo/Group Performance: “From This Valley,” The Civil Wars
Best Country Solo Performance: “Wagon Wheel,” Darius Rucker
Best Country Song: “Merry Go Round,” Shane McAnally, Kacey Musgraves & Josh Osborne
Best Rock Performance: “Radioactive,” Imagine Dragons
Best Alternative Music Album: Modern Vampires of the City, Vampire Weekend
Producer of the Year, Non-Classical: Pharrell Williams
Best Metal Performance: “God Is Dead,” Black Sabbath
Best Rock Album: Celebration Day, Led Zeppelin

Credit:millardayo