
Jackie Cliff
 Ndani ya wiki moja iliyopita Balozi wa 
Tanzania nchini China  aliongea Exclusive na millard ayo na kuthibitisha
 kwamba hajawahi  kupokea taarifa kutoka gereza lolote la China juu ya 
kukamatwa na dawa  za kulevya kwa Mtanzania, mrembo ambae amekua 
akitokea kwenye video  kadhaa za bongofleva “Jackie Patrick Cliff’
Maelezo yake yalifanya kuwe na maswali zaidi manake kila mmoja alikua anajiuliza atakua wapi Mtanzania huyu baada ya taarifa kusambaa kwenye vyombo vya habari Tanzania kwamba kakamatwa huko Macao?
![]()  | 
| Jux na Jackie | 
Baadhi ya maswali aliyoyajibu kwenye video hapa chini ni pamoja na Wameongea lini mara ya mwisho? Jack anasemaje? Jack alikua wapi wakati wanaongea? yuko nchi gani? anarudi lini bongo? na mengine….
Watch video...







0 comments:
Post a Comment