MSANII maarufu wa Bongo Movie, mrembo na
 mwenye pesa pengine kuwazidi  wengi na ambaye hivi karibuni amezua 
mijadala mikubwa baada ya kurudiana  na mpenzi wake wa zamani Diamond, 
ambaye pia ni maarufu katika muziki  wa kizazi kipya nchini na mwenye 
kuongoza kwa mapato nchini,  imegundulika kuwa ana ujauzito wa miezi 
kadhaa.
 
Wema ambaye alishindwa kuficha hisia zake na hatimae kuweka kuandika  
kwenye mtandao wa kijamii wa instagram,” …mmmmmh jamani hichi kitumbo…  
hakifichiki now…” kuashiria kuwa mabadiliko ya mwili yameshaanza  
kuonekana (Picha chini inaonesha ujumbe huo kamili). 
credit: vituko vya mtaa
Tuesday, 14 January 2014
STORY KAMILI KUHUSU UJAUZITO WA WEMA NA ALIYEMPA MIMBA HIYO..!! SOMA HAPA..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)






0 comments:
Post a Comment