Msanii Ali Salehe Kiba a.k.a Ally Kiba amekua hasikiki hivi karibuni 
katika radio na wala halalamiki inaweza ikawa mrembo huyu ndio kamziba 
mdomo ama ama amemfanya akasahau stress za mziki.
Mkali huyo ambaye hivi karibuni alikuwa Nairobi kurekodi collabo yake
 na Redsan, amepost picha kwenye Instagram akiwa na mrembo ambaye hakuna
 shaka kuwa ni ubavu wake wa pili.
Mtoto ni kama alishushwa  Ally Kiba hapa kagonga ndipo!!!






0 comments:
Post a Comment