Hizi
ni pichaz zinzowaonyesha Mastar kadhaa wa Isidingo jinsi
walivyohudhuria ibada ya Mazishi ya Lesego Motsepe maarufu kama Letty
Matabane ambaye ni staa wa tamthilia ya Isidingo inayoonyeshwa kupitia
kituo cha televisheni cha Itv.
baadhi ya waombolezaji wakifatilia ibada iliyokua ikiendela kanisani.
Huyu nu Parsons’ wa Isidingo ambaye kwenye tamthilia ya Isidingo alikuwa anacheza kama dada yake.
Huyu ni Bra G
Hii ilikua ni kwenye ibada ya mazishi ya
Lettie Matabane iliyofanyika January 25 Johannesburg nchini Afrika Kusini
0 comments:
Post a Comment