Kwanza wiki iliyopita ukurasa wake wa facebook ulifikisha likes zaidi
ya 200,000 na kama haitoshi muda mfupi uliopita hit maker wa ‘Yahaya’
ameutambulisha mkoko wake mpya.
‘My new ride. God I thank you’-Jide.
Ukipishana na Jide akiwa anaendesha Range Rover moja matata
usishtuke, kupitia facebook yake muda mfupi uliopita amepost picha ya
gari lake hilo jipya na kuandika ‘My new ride. God I thank you’.
0 comments:
Post a Comment