Wednesday, January 22, 2014 MASTAA
Asubuhi
ya leo tuliandika post kuhusu umuhimu wa kushukuru, ambapo katika post
hiyo tulielezea jinsi msanii The Rock alivyoamua kumshukuru mfanyakazi
wake wa ndani aliyekaa nae kwa zaidi ya miaka 10 kwa kumnunulia gari
moja kali sana. Kwa wale mliopitwa na story hiyo mnaweza icheki na
kuisoma

Sasa jioni ya leo msanii H Baba kaamua kutoa shukrani kwa wasanii
mbalimbali waliochangia kuufikisha mziki wa Bongo Flava hapa ulipo leo.
Msanii H Baba kaamua kumwaga shukrani nyingi sana kwa msanii Dully Sykes
kwa kumwelezea kama mtu aliyechangia vitu vingi sana katika mziki huu
wa Bongo Flava. Hiki ndo alichokiandika msanii H Baba katika moja ya
post zake kwenye mtandao mmoja wa kijamii "

0 comments:
Post a Comment