Wakala wa mchezaji Javier Hernandez amethibitisha kwamba mshambuliaji
huyo anaendelea kubakia Old Trafford pamoja na kutakiwa vilabu sita
barani ulaya.
Chacharito, 24, amekuwa akihusishwa na suala la kuondoka Manchester
United ili kuweza kupata timu atakayokuwa akicheza muda mwingi.
Wakala wake Eduardo Hernandez mapema leo alikaririwa na ESPN Deported
akisema: “Nilikuwa na mikutano na vilabu kadhaa, siwezi kuvitaja...