Find Us On Facebook
 
X

Tuesday, 30 December 2014

Utafiti kuhusu athari za chumvi kwenye chakula .

Moja ya vitu ambavyo vimekuwa muhimu kwenye chakula cha mwanadamu ni chumvi ambayo hutumika kuongeza ladha ya chakula ambacho hutumika mezani . Umuhimu wa kiungo hiki umefikia hatua ya waswahili kuipbatiza chumvi jina la utani ambalo ni Mkuu Wa Jiko . Hata hivyo chumvi inaweza kuwa na madhara pale ambapo inatumika kuliko kawaida na madhara hayo ni kwa afya ya mtumiaji . Je chumvi ni mbaya kwa Afya yako? Mwili wa mwanadamu unahitaji chumvi kwa...

Monday, 29 December 2014

Keith Millen meneja wa Crystal Palace?

Kocha wa muda wa timu Crystal Palace Keith Millen yuko tayari kuchukua jukumu la kuifundisha timu hiyo kama kocha wa kudumu. Millen anakaimu nafasi ya umeneja kwa muda baada ya kocha mkuu Neil Warnock kutimuliwa ,amekua na uzoefu wa kukiongoza kikosi hicho baada ya kufanya hivyo mara ya kwanza ni pale Tony Pulis alipoikacha timu hiyo mwanzoni mwa msimu. "Niko tayari kuwa kocha wa kudumu wachezaji wananiheshimu kwa ufahamu wangu, na kufanya kazi...

Taarifa ya kinachoendelea hivi sasa kuhusu ndege iliyopotea jana Indonesia

majonziTaarifa zilizotoka muda mfupi uliopita kuhusiana na zoezi la utafutaji wa ndege iliyopotea ya AirAsia QZ 8501 zinasema kuwa vikosi vinavyohusika na utafutaji wa ndege hiyo vinasema kuna uwezekano mkubwa imezama kwenye kina kirefu cha bahari. Chanzo cha habari kutoka nchini humo kinasema uchunguzi kuhusu ndege hiyo bado unaendelea huku wakitumia ndege za kijeshi kutoka Indonesia na Singapore Kusini Magharibi mwa Pwani ya Borneo ambapo ilipoteza...

Hili ni dili analofungia mwaka 2014 msanii Davido

DavidO (1)Mwezi December ni mwezi ambao watu huwa wanafanya uchambuzi wa namna mwaka ulivyokwenda, kuangalia malengo ambayo umeyaweka yamepita au yamekwama na pia kuandaa mikakati mipya ya mwaka unaofuatia. Davido ni mmoja ya mastaa wanaomaliza vizuri 2014, amefanya vizuri kwenye muziki, siku ya December 27 alitoka na tuzo mbili kwenye AFRIMA Awards 2014, msanii Bora wa Mwaka na pia Hit Single yake ya ‘Aye’ kuwa wimbo bora wa mwaka. “JUST SIGNED...

Wakati wengine wakisherehekea kupata watoto…hali si shwari kwenye ndoa ya mchekeshaji maarufu Chris Rock

Wakati wengine wakisherehekea kupata watoto…hali si shwari kwenye ndoa ya mchekeshaji maarufu Chris Rock Posted by: Jesca TZA December 29, 2014 Ent. FILE: Comedian Chris Rock Has Filed For Divorce From Malaak Compton-RockMchekeshaji maarufu nchini Marekani Chris Rock ameamua kuachana na mpenzi wake wa siku nyingi Malaak Campton baada ya kudumu nae kwenye ndoa kwa miaka 19. Katika maelezo yaliyotolewa na mkewe Malaak alisema “baada ya mgongano...