Zikiwa zimebaki takribani mbili kabla ya mchezo wa watani wa jadi
Simba na Yanga, daktari wa Simba SC, Yassin Gembe amesema kwamba
mshambuliaji, Mganda Emmanuel Okwi aligongwa kwenye enka na goti katika
mchezo dhidi ya Stand United, lakini yuko fiti kabisa kucheza Oktoba 18,
dhidi ya Yanga SC.
Okwi alitolewa nje mara mbili kupatiwa huduma ya kwanza na Dk Gembe, lakini mara zote alirejea uwanjani kuendelea na mchezo.
Pigo la pili lilimfanya...