Bodi ya filamu nchini Nigeria hatimaye imeidhinishwa kusambazwa kwa
sehemu kubwa na kuonyeshwa kwa filamu hii kubwa barani Afrika Half of a
Yellow Sun.
Awali Half of a Yellow Sun ilicheleweshwa na bodi hiyo na kufafanua
sababu za kufanya hivyo kuwa ni kutokana na hali ya usalama inayoendelea
katika nchi hiyo na kusema kuwa filamu hiyo inayoelezea vita vya
wenyewe kwa wenyewe Nigeria ingeweza kusababisha machafuko.
Filamu hiyo kitabu chake...