Find Us On Facebook
 
X

Thursday, 27 February 2014

The Game aweka wazi kuhusu uhusiano wake na Kim & Khloe Kardashian

Khloe Kardashian na The game walijiachia pamoja kwenye night club kiasi cha kuwapa watu mashaka kwamba  wawili hao wapo kwenye uhusiano wa kimapenzi hivi sasa. Khloe alikuwa wa kwanza kukanusha uhusiano huo na kusema kwamba walikuwa wapo kwenye starehe kama marafiki. Hivi karibuni The game amepata nafasi ya kuzungumzia kuhusu kile kilichotokea na ametoa exclusive mpya. Akiwa kwenye radio ya BBC Radio1 Extra The game alisema asingeweza...

Maneno ya Diamond Platnumz kuhusu wasanii wanaomtengenezea ugomvi

Staa huyu wa ‘Number 1 rmx’ ft Davido ameiandika hii na kuisambaza kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii ya Instagram na faceboo...

Ex-girlfriend wa Samuel Eto’o ashtua watu kuhusu umri wa mchezaji huyo.

“Tatizo la Chelsea ni kukosa wafungaji, nina Eto’o ambaye ana miaka 32 au labda 35 nani anayejua?”. Hiyo ilikua ni kauli ya kocha Jose Mourinho akimzungumzia Samuel Etoo na baadae mpenzi wa zamani wa Eto’o aliongea kuhusu umri wa mchezaji huyo kitu ambacho kimewashangaza watu wengi. Anna Barranca alikuwa mpenzi wa zamani wa Eto’o na kupata mtoto mmoja wa kike ambaye hivi sasa ana miaka 11 amesema Eto’o ana miaka 39 kuelekea 40 na sio 35. Mwanamke...

P Square kuanzisha series yao mpya – The Alingo’s

Project hii imefanyiwa kazi kwa muda wa miaka 5 na mwaka huu ipo tayari kuanza kuonyeshwa, taarifa hii imetoka kwenye post ya Peter Okoye. The Alingo’s ni TV series ya katuni ambayo stars wake ni Peter na Paul wakiwa kwenye muonekano wa katuni. Project hiyo inasimamiwa na P Classic entertainment kampuni ambayo ipo chini ya P Square na kuongozwa na Peter Okoye. Hii ni trailer ya series hiyo Trailer....

Taarifa kuhusu kocha wa Taifa Stars kuachishwa kazi

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen wamekubaliana kuvunja mkataba katika makubaliano ambayo ni siri kwa pande zote mbili. Uamuzi huo umetangazwa leo (Februari 27 mwaka huu) jijini Dar es Salaam kwa pamoja na Rais wa TFF, Jamal Malinzi na Kocha Poulsen mbele ya waandishi wa habari. Rais Malinzi kwa niaba ya TFF ametoa shukrani za dhati kwa Kocha Poulsen kwa ushirikiano na mchango ambao ameutoa...

Wednesday, 26 February 2014

Video inayosambaa ya Ostaz Juma akiombwa msamaha na Pnc.

Hii ni video ambayo imezunguka sana leo kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii ambayo wadau wengi wa muziki wamedai ni kama kudharirishwa kwa wasanii wa Tanzania na kuonekana kama hawana msimamo na kazi yao waifanyayo. Video hii inamunyesha memba wa zamani wa kundi hilo la Mtanashati Intertainment Pnc,akimuomba msamaha Big boss wa kundi hilo Ostaz Juma Namusoma. Video... ...

Hii ndiyo status ya Kala Jeremiah iliyozua utata Facebook.

Kwa kitu ambacho kinaonekana si cha kawaida kwa Kala Jeremiah kuandika status kali ikiwa kama inamchafua Diamond na kumsifia Ally Kiba kwa kile kilichosemekana kuwa Ally Kiba kakopa pesa ili kumalizia ujenzi wa nyumba aliyokuwa anajenga...

Friday, 14 February 2014

MAITI ZAKUTWA ZIMETELEKEZWA MUHUNGULA KAHAMA,TUNAOMBA RADHI KWA PICHA

Maiti zimekutwa zikiwa zimeteketea vibaya mjini kahama maeneo ya mhungula sababu ya maiti hizo bado ikiwa haijafahamika ni nini. chanzo http://bundalawilliam.blogspot.com...

MAGAZETI YA LEO VALENTINE DAY

. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . ...