Find Us On Facebook
 
X

Tuesday, 30 December 2014

Utafiti kuhusu athari za chumvi kwenye chakula .

Moja ya vitu ambavyo vimekuwa muhimu kwenye chakula cha mwanadamu ni chumvi ambayo hutumika kuongeza ladha ya chakula ambacho hutumika mezani . Umuhimu wa kiungo hiki umefikia hatua ya waswahili kuipbatiza chumvi jina la utani ambalo ni Mkuu Wa Jiko . Hata hivyo chumvi inaweza kuwa na madhara pale ambapo inatumika kuliko kawaida na madhara hayo ni kwa afya ya mtumiaji . Je chumvi ni mbaya kwa Afya yako? Mwili wa mwanadamu unahitaji chumvi kwa...

Monday, 29 December 2014

Keith Millen meneja wa Crystal Palace?

Kocha wa muda wa timu Crystal Palace Keith Millen yuko tayari kuchukua jukumu la kuifundisha timu hiyo kama kocha wa kudumu. Millen anakaimu nafasi ya umeneja kwa muda baada ya kocha mkuu Neil Warnock kutimuliwa ,amekua na uzoefu wa kukiongoza kikosi hicho baada ya kufanya hivyo mara ya kwanza ni pale Tony Pulis alipoikacha timu hiyo mwanzoni mwa msimu. "Niko tayari kuwa kocha wa kudumu wachezaji wananiheshimu kwa ufahamu wangu, na kufanya kazi...

Taarifa ya kinachoendelea hivi sasa kuhusu ndege iliyopotea jana Indonesia

majonziTaarifa zilizotoka muda mfupi uliopita kuhusiana na zoezi la utafutaji wa ndege iliyopotea ya AirAsia QZ 8501 zinasema kuwa vikosi vinavyohusika na utafutaji wa ndege hiyo vinasema kuna uwezekano mkubwa imezama kwenye kina kirefu cha bahari. Chanzo cha habari kutoka nchini humo kinasema uchunguzi kuhusu ndege hiyo bado unaendelea huku wakitumia ndege za kijeshi kutoka Indonesia na Singapore Kusini Magharibi mwa Pwani ya Borneo ambapo ilipoteza...

Hili ni dili analofungia mwaka 2014 msanii Davido

DavidO (1)Mwezi December ni mwezi ambao watu huwa wanafanya uchambuzi wa namna mwaka ulivyokwenda, kuangalia malengo ambayo umeyaweka yamepita au yamekwama na pia kuandaa mikakati mipya ya mwaka unaofuatia. Davido ni mmoja ya mastaa wanaomaliza vizuri 2014, amefanya vizuri kwenye muziki, siku ya December 27 alitoka na tuzo mbili kwenye AFRIMA Awards 2014, msanii Bora wa Mwaka na pia Hit Single yake ya ‘Aye’ kuwa wimbo bora wa mwaka. “JUST SIGNED...

Wakati wengine wakisherehekea kupata watoto…hali si shwari kwenye ndoa ya mchekeshaji maarufu Chris Rock

Wakati wengine wakisherehekea kupata watoto…hali si shwari kwenye ndoa ya mchekeshaji maarufu Chris Rock Posted by: Jesca TZA December 29, 2014 Ent. FILE: Comedian Chris Rock Has Filed For Divorce From Malaak Compton-RockMchekeshaji maarufu nchini Marekani Chris Rock ameamua kuachana na mpenzi wake wa siku nyingi Malaak Campton baada ya kudumu nae kwenye ndoa kwa miaka 19. Katika maelezo yaliyotolewa na mkewe Malaak alisema “baada ya mgongano...

Tuesday, 7 October 2014

KUHUSU OKWI KUPATA MAJERAHA

Zikiwa zimebaki takribani mbili kabla ya mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga, daktari wa Simba SC, Yassin Gembe amesema kwamba mshambuliaji, Mganda Emmanuel Okwi aligongwa kwenye enka na goti katika mchezo dhidi ya Stand United, lakini yuko fiti kabisa kucheza Oktoba 18, dhidi ya Yanga SC. Okwi alitolewa nje mara mbili kupatiwa huduma ya kwanza na Dk Gembe, lakini mara zote alirejea uwanjani kuendelea na mchezo. Pigo la pili lilimfanya...

Monday, 6 October 2014

MWANAFUNZI WA MIAKA 17 AMTUNDIKA MIMBA MWALIMU WAKE HUKO MKOANI RUKWA

WAKATI ikiwa imezoeleka kuwa baadhi ya walimu wa kiume huwarubuni wanafunzi wao wa kike na hata kuwaharibia kabisa ndoto zao za kielimu kutokana na kuwapa ujauzito, hali imekuwa tofauti mkoani Rukwa ambako mwanafunzi wa Kidato cha Pili anadaiwa kumzalisha mwalimu wake.   Mwanafunzi huyo aliyemzalisha mwalimu wake ana umri wa miaka 17, wakati mwalimu huyo anayefundisha katika Shule ya Sekondari ya Umma ya Nkasi, iliyopo mwambao...

Rekodi 7 tofauti alizoweka Cristiano Ronaldo baada ya kufunga hat trick dhidi ya Bilbao

Mwanasoka bora wa dunia Cristiano Ronaldo jana usiku alifunga magoli matatu na kutimiza jumla ya magoli 17 katika michuano yote aliyoitumikia Real Madrid. Magoli hayo yalimfanya Ronaldo aweke rekodi kadhaa kwenye historia ya soka na rekodi hizo zipo kama ifuatavyo: *3 – Hii ni Hat trick ya 3 ya Ronaldo katika La Liga msimu huu na amefanikiwa kufunga hat tricks hizo katika kipindi cha siku 15 tu. *111 – Mchezo wa jana usiku ulikuwa wa...

Abakwa akimtembeza Mbwa

soma zaid...

Tuesday, 8 July 2014

Kuhusu kuachiwa kwa filamu hii mpya kutoka nigeria

Bodi ya filamu nchini Nigeria hatimaye imeidhinishwa kusambazwa kwa sehemu kubwa na kuonyeshwa kwa filamu hii kubwa barani Afrika Half of a Yellow Sun. Awali Half of a Yellow Sun ilicheleweshwa na bodi hiyo na kufafanua sababu za kufanya hivyo kuwa ni kutokana na hali ya usalama inayoendelea katika nchi hiyo na kusema kuwa filamu hiyo inayoelezea vita vya wenyewe kwa wenyewe Nigeria ingeweza kusababisha machafuko. Filamu hiyo kitabu chake...

Kuhusu kipa Ochoa wa Mexico kuwa na vidole sita

Katika michuano ya kombe la dunia kumeibuka wachezaji wengi ambao wameonyesha uwezo mkubwa kiasi cha kuteka hisia za watu wengi, mmoja wapo ni golikipa wa Mexico Guillermo Ochoa. Golikipa huyu alionyesha uwezo mkubwa katika mechi alizoichezea Mexico kwenye michuano ya kombe la dunia inayoendelea nchini Brazil, kabla ya timu yake kutolewa na Uholanzi katika hatua 16 bora – lakini pamoja na kuondolewa kwa timu yake bado uwezo wake umeacha...

Thursday, 1 May 2014

HABARI PICHAZ..MH. ZITTO ZUBERI KABWE AKILA NDIZI KUPINGA UBAGUZI WA RANGI...!

...

PICHAZ: YALIYOJILI MKUTANO WA UKAWA ZANZIBAR

 Umati wa Wazanzibar waliojitokeza katika mkutano wa Ukawa  Zanzibar. ...

Thursday, 10 April 2014

WASHIRIKI WA REDS MISS UDOM 2014 WAPATA FURSA YA KUKUTANA NA BAADHI YA VIONGOZI WA NCHI DODOMA HOTEL

Reds Miss Udom walipata fursa ya kukutana na Naibu waziri wa Utamaduni na Michezo Juma Khamia Dodoma Hotel Warembo wakiwa kwenye Pozi na Mh Juma Khamia na Baadhi ya waandaaji baadhi ya waheshimiwa wakiongea na washiriki wa Reds Miss U...

Sunday, 2 March 2014

TAFADHALI PICHA ZINATISHA !! KUTANA NA WATU MASHUHURI WALIO MDHIHAKI MUNGU! NA MUNGU ALIVYOWAJIBU DHIHAKA ZAO!! BALAA!!

1. JOHN LENNON (MUIMBAJI) Wakati alipokuwa akihojiwa na mwandishi wa habari wa gazeti la American alinukuliwa akisema hivi "Ukristo utakufa na kutoweka duniani, siwezi kuwa na wasiwasi na hilo kwa kuwa nina uhakika nalo. Mafundisho ya Yesu yalikuwa sahihi na wala sipingi hilo ila mafundisho yale yalikuwa mepesi sana ambayo mtu yeyote anaweza kuyafundisha. Hebu angalia leo, tumekuwa maarufu hata zaidi yake...

Picha 7 kuhusu mauaji yaliyotokea kwenye kituo cha Treni China.

T aarifa iliyosambaa kwenye mitandao mbalimbali inasema kuwa kuna kundi la watu waliokuwa naPicha 7 visu limewashambulia na kuua watu 28 huku zaidi ya 100 wakijeruhiwa katika kituo cha treni kilichopo mjini Kunming nchini China. Mashahidi wa tukio hilo wamesema kuwa washambuliaji hao walivalia nguo nyeusi na kuwavamia abiria waliokuwa wakingojea treni na kuwakatakata huku wengine wakiwadunga visu wale hasa walioshindwa kukimbia kwa kasi. Polisi ...

Thursday, 27 February 2014

The Game aweka wazi kuhusu uhusiano wake na Kim & Khloe Kardashian

Khloe Kardashian na The game walijiachia pamoja kwenye night club kiasi cha kuwapa watu mashaka kwamba  wawili hao wapo kwenye uhusiano wa kimapenzi hivi sasa. Khloe alikuwa wa kwanza kukanusha uhusiano huo na kusema kwamba walikuwa wapo kwenye starehe kama marafiki. Hivi karibuni The game amepata nafasi ya kuzungumzia kuhusu kile kilichotokea na ametoa exclusive mpya. Akiwa kwenye radio ya BBC Radio1 Extra The game alisema asingeweza...

Maneno ya Diamond Platnumz kuhusu wasanii wanaomtengenezea ugomvi

Staa huyu wa ‘Number 1 rmx’ ft Davido ameiandika hii na kuisambaza kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii ya Instagram na faceboo...

Ex-girlfriend wa Samuel Eto’o ashtua watu kuhusu umri wa mchezaji huyo.

“Tatizo la Chelsea ni kukosa wafungaji, nina Eto’o ambaye ana miaka 32 au labda 35 nani anayejua?”. Hiyo ilikua ni kauli ya kocha Jose Mourinho akimzungumzia Samuel Etoo na baadae mpenzi wa zamani wa Eto’o aliongea kuhusu umri wa mchezaji huyo kitu ambacho kimewashangaza watu wengi. Anna Barranca alikuwa mpenzi wa zamani wa Eto’o na kupata mtoto mmoja wa kike ambaye hivi sasa ana miaka 11 amesema Eto’o ana miaka 39 kuelekea 40 na sio 35. Mwanamke...

P Square kuanzisha series yao mpya – The Alingo’s

Project hii imefanyiwa kazi kwa muda wa miaka 5 na mwaka huu ipo tayari kuanza kuonyeshwa, taarifa hii imetoka kwenye post ya Peter Okoye. The Alingo’s ni TV series ya katuni ambayo stars wake ni Peter na Paul wakiwa kwenye muonekano wa katuni. Project hiyo inasimamiwa na P Classic entertainment kampuni ambayo ipo chini ya P Square na kuongozwa na Peter Okoye. Hii ni trailer ya series hiyo Trailer....

Taarifa kuhusu kocha wa Taifa Stars kuachishwa kazi

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen wamekubaliana kuvunja mkataba katika makubaliano ambayo ni siri kwa pande zote mbili. Uamuzi huo umetangazwa leo (Februari 27 mwaka huu) jijini Dar es Salaam kwa pamoja na Rais wa TFF, Jamal Malinzi na Kocha Poulsen mbele ya waandishi wa habari. Rais Malinzi kwa niaba ya TFF ametoa shukrani za dhati kwa Kocha Poulsen kwa ushirikiano na mchango ambao ameutoa...

Wednesday, 26 February 2014

Video inayosambaa ya Ostaz Juma akiombwa msamaha na Pnc.

Hii ni video ambayo imezunguka sana leo kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii ambayo wadau wengi wa muziki wamedai ni kama kudharirishwa kwa wasanii wa Tanzania na kuonekana kama hawana msimamo na kazi yao waifanyayo. Video hii inamunyesha memba wa zamani wa kundi hilo la Mtanashati Intertainment Pnc,akimuomba msamaha Big boss wa kundi hilo Ostaz Juma Namusoma. Video... ...

Hii ndiyo status ya Kala Jeremiah iliyozua utata Facebook.

Kwa kitu ambacho kinaonekana si cha kawaida kwa Kala Jeremiah kuandika status kali ikiwa kama inamchafua Diamond na kumsifia Ally Kiba kwa kile kilichosemekana kuwa Ally Kiba kakopa pesa ili kumalizia ujenzi wa nyumba aliyokuwa anajenga...

Friday, 14 February 2014

MAITI ZAKUTWA ZIMETELEKEZWA MUHUNGULA KAHAMA,TUNAOMBA RADHI KWA PICHA

Maiti zimekutwa zikiwa zimeteketea vibaya mjini kahama maeneo ya mhungula sababu ya maiti hizo bado ikiwa haijafahamika ni nini. chanzo http://bundalawilliam.blogspot.com...

MAGAZETI YA LEO VALENTINE DAY

. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . ...